Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Tamasha la 30 la Kimataifa la Qur'an na Hadithi, linalosimiwa na Rais wa Jamiat Al-Mustafa (S) - Dar-es-salaam - Tanzania, Dr.Ali Taqavi, lilifanyika nchini Burundi katika Msikiti wa Imam Zainul A'bidina (a.s). Katika Mashindano haya ya Qur'an na Hadithi, washiriki wa Hifdhi ya Qur'an Juzuu 5, Juu ya 4 na Juzuu 3 tayari walishaanza mashindano yao. Qur'an ni Uhai wa Nyoyo.
18 Aprili 2025 - 19:18
News ID: 1550151
Your Comment